Mwanamuziki Victoria Kimani kutoka Kenya ambae hivi karibuni alipata bonge la deal la kusainiwa katika kampuni moja na Jay Z, ana kuja na album mpya inayo itwa safari. Na Hizi ndizo baadhi ya picha alizo ziachia kwa ajili ya kuipa promo album yake hio

Victoria-Kimani-is-Smoking-Hot-in-New-Promo-Photo

Victoria is bringing out the sexiness side of hers in Madonna’s iconic bra.

Victoria-Kimani-is-Smoking-Hot-in-New-Promo-Photos Victoria-Kimani-picturesVictoria akiwa amevalia African print crop top na max skirt, huku akiwa ame valia na printed turban na kikapu (African mama)

Victoria-Kimani-is-Smoking-Hot-in-New-Promo-Photos-styleyetu