Darling Hair

Baada ya kuona harusi ya Bank W na Adesua Wedding jinsi ambavyo wedding guest wame slay we said to our selves siku hizi there is no mercy wageni waalikwa huwa hawataki mchezo. na katika pita pita zetu tukakutana na haya magauni ambayo yana fit perfectly well katika wedding guest au wedding reception tukaona tuwaletee.

Jojo in white dresses by Mac_couture , ukiachana na kwamba ni meupe na harusini hutakiwi kuvaa vazi lenye rangi inayofanana na bi harusi these dresses are perfect for wedding guest or reception kwa bibi harusi.

Julitha dress is everything and a little bit extra, we love the color and design kama ungependa ku turn head kwenye harusi ya watu this is a perfect choice for you.

Hamisa Mobetto in Mac_couture dress well this one is simple & elegant.

Well next time una tafuta mtoko wa harusini kumbuka hii mishono.

 

Wedding Guest Or Reception Dresses Ideas From jokate,Julitha & Hamisa

Comments

comments


Post navigation


4 thoughts on “Wedding Guest Or Reception Dresses Ideas From jokate,Julitha & Hamisa

  1. Pingback: filmstreaming
  2. Pingback: estrutura de redes

Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com