Miss Mwanza 2007, aliye kuwa mtangazaji wa Kipindi cha Take One kupitia channel ya clouds Tv lakini pia mjasiriamali Zamaradi Mketema amefunga ndoa weekend iliyo pita na ukiachana na kuzua gumzo mtandaoni Zamaradi ametuvutia sana na gauni lake la siku ya ndoa yake.

Kama bibi harusi wa kiislam tungetegemea rangi ya kijani lakini amekua tofauti amevaa white & cream dress iliyo compliment rangi yake ya mwili, amepaka henna ambayo ilikua on point lakini pia simple make up. huwa wanasema less is more and we couldn’t agree more.

 

Ame accessorize gauni yake na hereni za dhahabu, waist belt  na saa ya dhahabu, kwetu she is the most gorgeous bride ambae tumemuona mwaka huu. Hongera Zamaradi Mketema