Melania Trump First Lady wa U.S. yaani mke wa Rais wa U.S Donald Trump ameingia kwenye buzz baada ya kuvaa coat kutoka katika kampuni ya mavazi Dolce & Gabana yenye thamani ya $51,500 sawa kama na M 113,300,000 za ki- Tanzania.

Hii ilihamsha hisia za watu huku wengine wakionekana kumtania kwamba kavaa nini wakati wengine wakisema bei ni too much

 

Well Afronista nyie mnaionaje hii?

Comments

comments