Husna Maulid ni mshiriki wa Miss Tanzania 2011/2012 na pia ni video queen, Husna  kwa kumuangalia tu utajua ana penda mitindo (fashion) na ana thibitisha hilo kwa namna ambavyo ana vaa leo tunakupa Ideas za mitoko weekend hii kutoka kwake.

Kama unaenda matembezini tu na marafiki basi hizi zina kufaa

11850148_840111029429512_1759232449_n 11910304_449223195264548_192034370_n

Kama una enda Movies au una ki date basi hizi pia zitakufaa

11899446_877621305663800_2101834014_n

12142407_169038906770463_1304338075_n

na kama una enda kwenye harusi basi una weza kuiga mshono

11379891_377091822479513_1321835799_n 11856584_1515960665362753_1939277346_n