Joujou_nyaki03 ni stylist kutoka JouJou House of Style, tuna penda style zake kwa sababu ni comfortable na una weza kuzi vaa wakati wowote, una weza kuiga outfit yake na kufanya iwe mtoko wako weekend hii

Wide Legs ziko so in kwa sasa na ni comfortable sana, una weza kustyle kama ambavyo joujou ame zi style hapo chini

1172021_1695599097350344_1806854663_n 12950209_759528594184567_35350847_n

black and white outfit tumependa suruali ilivyo 13706919_1168540149856407_1138879384_n  14033455_1239438652762476_1981964262_n

Bandage dresses ni choice nzuri pia hazipo complicated una weza kuvaa na kiatu chochote

13724664_905083426269856_1410031240_n

12918392_1601094903498950_1913700022_n

12965034_485319381653058_1529355116_n

all white outfit

1389587_1684472778459846_777246289_n

WEEKEND OUTFIT IDEAS KUTOKA KWA JOUJUO_NYAKI03

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com