Kila mtu ana weza akawa ana mjua Jacqueline Wolper  Ex wa harmonize (not sure though) mama wereva lol ni msanii, mjariamali pia ni SLAYER. Na katika pita pita zetu tukakutana nae akiwa amevalia hii kitenge colorful outfit ambayo tume ipenda (weheart) na ika bidi tuilete hapa ku share nanyi

ni simple peplum top/blazer yenye njano na kijani akiwa ame valia na bwanga la njano

we love love the shoes na bag (you know she bad on accessorizing), ame malizia mtoko wake na saa na miwani. We heart this look so much na tunampa 8.5/10 Je wewe una mpa ngapi Jacqueline? tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Comments

comments