Tumechukua muda kufanya hii review kwa maana ilibidi tupate muda wa ku-take in mambo yaliyo tokea, Wema Sepetu Birthday Gala pamoja na Movie Premier huku theme ya siku hii ilikuwa Make A Statement kwenye swala zima la mavazi,

lakini tunajua vile waswahili huwa tunafanyaga vitu vice versa na kile ambacho tumekisema hii huonekana sana katika muda, lakini hata kwenye swala la ahadi, event ili catch attention ya watu lakini kilicho kuja kutokea tusikusimulie, angalia hapo chini nani alivaa nini na nani alipendeza na kuzogoa

Review imefanywa na @lynmathias