Darling Hair

Tanzania Sweetheart bi Wema Sepetu jana ameachia picha zake mpya akiwa amevalia blue ocean dress kutoka kwa mbunifu Elisha Red Label, we loving this look kwa kweli, mwenyewe ana sema ni road to her new movie premier kama hii ni teaser we cant wait kwa outfit ya siku hio

Kabla hatuja sahau ame fanyiwa make up na lavie makeup na makeup ilikuwa on point

we love love the dress and the color is just wow

Wema Sepetu Breath Taking In Elisha Red Label Dress

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com