Muigiazaji Wema Abraham Sepetu ame post picha zake mpya akiwa ame vaa gauni kutoka kwa mbunifu Elisha Red Label na tuna sema Wema should stick na Elisha, Mwaka jana katika black tie event alivalishwa na Elisha na ali break the internet kwa kupendeza na jumatatu ya leo amechukua number moja kwa kupendeza tuna subiri kama kuna mtu ata mfunika mpaka wiki ikiisha

Wema ame fanyiwa make up na lavie makeup (make up on fleek)

Gauni ni la black na Gold kutoka kwa mbunifu Elisha red label

Wema kawa styled na The stylist (we love the team combination stylist, designer,makeup artist na photographer every Tanzania celeb needs to take notes)

stylist @noelgiotz,

makeup artist @laviemakeup ,

designer @elisha.red.label ,

The Man behind the Camera @benardatilio ..