Kitu kimoja kuhusu trends ni kwamba zinajirudia, the white sneakers zilipotea kuna kipindi lakini zimerudi tena kwa kasi ya 4g, kila fashionista, watu maarufu na watu wa kawaida wameonekana kuvutiwa na trend hii, we are loving this new edition ya jinsi zinavyokuwa styled namna tofauti tofauti hasa zinavyo valiwa na suit, just perfect.

Kitu kikubwa ambacho tumeipendea hii trend ni kwamba inaingia katika jinsia zote wanaume kwa wanawake wote wameonekana kuvutiwa nayo na kuvaa hivi viatu

Unaweza pia kuvaa casual na suruali, short pants skirt au gauni pia,

Tumesha waona watu maarufu mbalimbali wa ndani na nje ya Nchi wakiwa wamevutiwa na trend hii

Diamond Platnumz  yeye alionekana akiwa amevalia trend hii na floral two pieces akimalizia na denim jacket

Wengine walionekana kuvalia hii trend ni mwanamitindo Flaviana matata ambae yeye ameonekana kuvivaa mara nyingi awezavyo

ma-model Lilian Loth na Sia Pius nao hawakuwa nyuma katika kustyle trend hii

Well tulipewa tip na homehouseofshoes_tz ya jinsi ya kuvijali viatu hivi soma hapo chini

White Sneakers Zinavyo Trend Kwa Sasa

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com