Pale wanapo sema Fashion Connects People sio uongo, mna weza kuwa hamjuani lakini mkapenda kitu kimoja tayari hapo mme ungana kwa kupenda hiko kitu, na wiki hii imetokea katika watu hawa maarufu watatu, Vanessa Mdee, Cardi B Na Bella Hadid wote wameonekana kuvalia hii short skirt ambayo ina lace pembeni

Cardi b yeye alivaa skirt hii na top nyeusi,fishnet tights na knee boots za blue

Bella Hadid yeye alivaa Skirt hii na plaid crop top, knee boots nyeupe, ame accessorize na miwani na min bag

Vanessa Mdee yeye alivaa skirt hii na see though top na boots zenye weupe na weusi

Skirt inauzwa Topshop $65 unaweza kununua  hapa

Unajua lazima tuulize Who rock it better?

Who Rocked This Lace up Skirt Better Between Vanessa, CardiB Na Bella Hadid

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com