Wakati sisi wengine tukiwa bado hata hatujaweza kupata mkononi collection ya 2017 ya Chanel, Mwanamuziki kutoka Nigeria yeye kashajipatia sneakers zake za current collection kutoka kwa brand ya Chanel,

Viatu hivi vilikuwa katika collection ya spring – summer 2018, ni sneakers ambazo zinarangi nyeupe na orange, zinauzwa $1,200 sawa na TzsĀ 2,730,120.00/-

Wiz Kid alivaa chunky sneakers hizi na all white outfit na side bag, the shoes was a statement on his outfit.

Well Wiz been rocking big brands this days and we can’t forget his modeling debut on Dolce & Gabanna Runway

Wiz Kid Ayo Katika Runway Ya Dolce Gabanna Akiwa Na Naomi Campbell

Wizkid Ayo Rocked $1,200 Chanel Sneakers From Spring-Summer 2018 Collection

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com