Kuwa na muonekano mzuri ni big deal lakini tatizo ni nini uvae ili upate huo muonekano, hasa pale ambapo you have to dress to impress kama kazini au katika business issues. well worry not maana afroswagga ipo kwa ajili yako si lazima uvae tunacho kwambia hapa ila atleast una weza kupata idea ya nini kipo kabatini kwako na unaweza kufanya kikae vile unavyo taka

monochrome

Black & red

skater skirt

creamy & white

 

 

 

 

Comments

comments