Week nyingine tena, hustle nyingine tena. Lakini una wezaje ku hustle huku hauja pendeza? haiwezekani hata wale matapeli huwa wana pendeza kweli kweli na ndio maana huwa wana aminika kiurahisi waki sema wana millioni mia kwa ule muonekano wao smart lazima uingie mkenge (hatu influence wizi) maana yetu ili ukubalike na uaminike muonekano una changia pia. Siku hizi hata madalali wa mbezi na gongo la mboto nao mionekano yao ina pishana.
Well besic is boring unaonaje week hii tuka jipimp kidogo kinamna nyingine? haya hizi ni work outfit ideas za week hii
Front slits skirts (skirt zenye mpasuo kwa mbele) zipo kwenye trend kwa sasa una weza kujaribu kuvaa kuwa muangalifu na uchaguzi wa rangi lakini pia mpasuo usizidi sana.
well suited up
flared skirts nazo bado zina tamba mtaani una weza kuchagua ya rangi moja, polka dots au hata floral
keeping it simple with a pop of floral blazer
tume penda jinsi alivyo arrange hizo rangi
ni matumaini yetu umepata moja au mbili za kuvaa katika week yako, have a blessed week until next week
Wasiliana nasi kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswagagtz