Darling Hair

deconstructed Is taking over, tume ona ime anza kwenye mashati zikaja suruali na sasa hii ya gauni, tume muona Kourtney Kardashian katika deconstructed black dress alipo kuwa ame attend Angel Ball 2016.

Khloe-Kourtney-Kardashian-Angel-Ball-NYC-2016

Kourtney alivaa cut out deconstructed black dress, ambayo ina sheer pembeni na fringe katikati

kourtney-kardashian

Kourtney alimalizia muonekano wake na perfect make up na chocker

nintchdbpict000283987747-e1479803855665

tupe maoni yako kwako yay (ndio) au nay (hapana) kwa muonekano wake huu

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Instagram – afroswagga

Yay OR Nay kwa Mtoko huu wa Kourtney Kardashian

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com