Kampuni ya mavazi ya Yeezy inayo milikiwa na rapper Kanye West imetoa bei ya  collection  yake ya Yeezy Season 2 . ambapo inaonekana bei ya juu kabisa kwa upande wa wavulana ni USD 940 sawa na tzs 2’030’400 kwa Bonded Fire Jacket wakati kwa upande wa bei ya chini ni $165 sawa na Tzs 356’400  kwa light cotton jersey, wakati tshirt zinauzwa kati ya$230 sawa na tzs 496’800 na boots $620 sawa na Tzs 1’339’200. List ya bei kwa upande wa wanaume

 

kanye-west-yeezy-season-2-prices-420x1000

wakati kwa upande wa wasichana bei ni $400 sawa na Tzs 864’000 kwa  hoodie, $900 sawa na Tzs 1’944’00 kwa boots, na  $700 sawa na Tzs 1’296’000 kwa trench coats

yeezy-season-2-womens-prices-659x1000