Darling Hair

Mwanamuziki kutoka Nigeria Yemi Alade na Actress na mshiriki wa Big Brother Africa Dillish Mathews wameonekana kuvaa style ya black & white outfit

Yemi yeye alivaa bowed, high split black & white dress ambayo ali accessorize na necklace huku akimalizia muonekano wake na black & white Shoes Well (deep breath on the shoes) could have been better kama angevaa rangi moja, oh well she tried

Dilish yeye alivaa two piece outfit ambayo ina top na pants zenye rangi nyeupe na nyeusi, na open heels nyeusi

Black & White Clothes was trending miaka iliyo pita may be the trend ina rudi swali ni je? are we here for it or nah?

Yemi Alade And Dillish Mathews In Black & White Outfit

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com