Kwa wazee wenzetu haitokuwa shida sana kuujua huu wimbo wa secreto de amor umetokana na Tamthilia gani na tunajua mtakuwa mnawakumbuka Maria Clara na Carlos Rahul, well enough na hii tamthilia lets get back to business, Young Killer ana new song na new video inaitwa secreto, well what a flash back, tupo hapa kureveiw kuhusu mavazi katika hii video nini tumependa na nini ni mhhhhhhhhhhhhhhhhhh a flop.
Tumependa that wamechukua muda wao kufanya research kuhusu mavazi ya Mexican/Spanish who ever amewapa hii idea is a keeper, hatujui kama kuna mbunifu alibuni au walinunua hizi nguo online lakini wao kuchukuwa muda wao na kujaribu kuweka  mavazi yanayoendana na wimbo ni kitu ambacho kimetufuraisha, we call this taking things serious
lakini pia tumependa the way hii video ipo tofauti na wengine, hatujaona trend things huku kama ma necklace, vi fanny pack hii ipo kipekee, unique.
The color coordination is on point like a perfect rainbow to brighten your day, katika vitu ambavyo huwa tunaona kwenye video za kwetu vinakosewa mara kwa mara ni color coordination, humu wamejitahidi ukiangalia unajua okay hapa the main color ilikuwa fulani na zinaendana.
Young Killer tumeona kavaa crop top humu hii tunaita daring tumemuona safaree week iliyopita akiwa amevalia something similar na young killer katika runway ya mbunifu toure design in newyork fashion week, it takes courage kwa mwanume hasa mwana hiphop kuvaa crop top.
Hivyo ndivyo ambavyo tumevipenda kwa upande wa ambavyo ni flop kwetu ni material zilizotumika kutengenezea haya mavazi ya young killer oh boy budget ilikuwa ndogo au ni online shopping gone wrong? Materials ni mbaya mbaya mbaya, ukiangalia mavazi yake na models utaona there is a big gape linapo kuja katika quality ya materials.
Nywele za young  killer ni kama kapigwa shot or something kuna kitu kinaendelea kinaweza kuwa ni trend mpya ya bad hair do, maana tumeiona kwa nahreel na sasa ni young killer this hair do is very distaste.
Japo tumempa hongera kwa kufanya research ya Mexican tumenotice kuna culture mixing nyingi humu kuna dada kavaa bendera ya Tanzania, kuna kipande mdada kavaa indian wear, too much is going on tungependa kama angebaki na theme moja au mbili maana mambo yamekuwa mengi na muda ukawa mchache, ,
we will give this video 4/10 sorry the ugly zimezidi the beautiful the ugliness won. next time zingatia theme and please toa this hair do. Well Mates tuambie wewe umeionaje video?
 unaweza kuiangalia hapa “secreto”