Jana kuliwa na tuzo za GQ Men of the Year Awards zilizo fanyika London, watu maarufu wengi walihudhuria akiwepo mwanadada Zendaya, Zendaya made it to our best dressed list, she nailed na kwa jinsi ambavyo watu maarufu wengine walivo vaa katika event hii tunaweza kusema Zendaya amechukua namba zote kwenye Top , yaani namba 1 yeye, mbili yeye mpaka tano yeye she looked gorgeous

Amevaa colorful dress kutoka kwa Ralph & Russo FW18 Couture Dress, amemaliza muonekano wake na black pumps na makeup yake simple, amelaza nywele nyuma na fun fact ni kwamba style ya nywele na makeup amefanya mwenyewe.

 

She is coming for the entire fashion industry

Zendaya Snatched In Ralph & Russo FW18 Couture Dress

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com