SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.

LATEST POSTS

Mitindo

BADDIE WINKLE VS IRIS APFEL 

Iris Apfel na Baddie Winkle wote ni wazee wanao penda mitindo ambao wamejizoelea wafuasi wengi wanao wafuata katika mitandao. Iris amezaliwa mwezi wa nane, 29, 1921 ana miaka 94 ambapo ni mfanya biashara, ni mpambaji wa nyumba na Mpenda mitindo. Amesoma sanaa katika chuo cha…

Mitindo, Runway Report

WAMEZITENDEA HAKI AU LAH? 

Rihanna ametambulisha manukato yake mapya RiRi akiwa amevalia kigauni cha pink ambacho kime buniwa na Vivienne Westwood ambacho kilionekana kwenye Runway ya Fall 2015 iliyo pewa jina  Red Label Fall 2015. Je amekitendea haki kivazi hiki? Selena Gomez nae hakua nyuma katika kutuonyesha umahiri wake…

Habari

KANYE ATANGAZA NIA 2020 

Kweli tegemea lolote kutoka kwa Kanye West, Baada ya kujiita Yeezus sasa kaja na kugombea urais 2020, mara baada kupokea tuzo yake katika tuzo za VMA’s alitangaza kugombea urais 2020 Kanya hajawahi kujiwekea kikomo na ana jiamini sana, T shirt zake za kampeni zimesha anza…

Habari

UVUMI: LUPITA NYONG’O KATIKA VOGUE 

Maneno ya mtaani ni kwamba bibie Lupita Nyong’o (32) mkenya alieshinda tuzo ya Oscar kupitia Filamu iitwayo 12 Years a Slave ana weza kuonekana katika Jarida la VOGIE mwezi wa kumi 2015. Ina weza ikawa ni Historia ya kwanza katika mitindo Vogie kuweka wanawake wawili…