Ciara A.K.A Cici ni mwanamuziki kutoka Nchi za Nje ambae kwa sasa ana ujauzito wa pili, Kama humjui aliimba like a boy (fav jam kutoka kwake), Promise,Never Ever and the list goes on. Well ni mjamzito kwa sasa na hizi ndizo photo shoot zake kwa ajili ya gazeti la Harper Bazaar Ni all about nude,white & denim

Ciara Maternity Photo shoot for HarpersBazaar.com

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com