April 15 wana mitindo mbali mbali wali tembea katika jukwaa la Oscar De La Renta Boutique kuonyesha mavazi ya harusi yaliyo buniwa na Oscar mwenyewe, katika collection hii oscar ame weka style mbali mbali za magauni haya ya harusi kuna mafupi, marefu, kata mikono, nguva na design tofauti tofauti angalia chini
hakuwasahau watoto wale wanao tangulia kabla ya maharusi vishunuu (flower girls)
gauni za harusi za kata mikono
gauni za harusi zenye shingo ya V
mikono mirefu
gauni za harusi fupi
OSCAR DE LA RENTA BRIDAL SPRING/SUMMER 2016