1) Viazi vitamu vinaweza kukusaidia kupunguza kasi ya ngozi yako kuzeeka vina beta-carotene ambayo inaweza kugeuka kuwa Vitamia A ambayo husaidia kupunguza kasi ya uharibifu wa radical (inayo sababisha uzee)

potato-gold

2) Parachichi ni tunda la kijani lenye brimming na antioxidants na vitamini E, vyote viwili  ni muhimu kwa ajili ya kulinda ngozi yako dhidi ya  jua na Free-Radicals.

avocado-chopped

3) Nyanya husaidia kupambana na kuzeeka kwa ngozi  , nyanya ina antioxidant ambayo ina nguvu inayoitwa lycopene , ambayo husaidia kuzuia uharibifu wa Radicals . Lycopene pia husaidia katika ulinzi dhidi ya UV  kuondoa Wekundu wa ngozi

tomatoes4

4)Strawberries zina vitamini C ambazo husaidia kuimarisha ngozi  pia strawberries husaidia kudumisha collagen, protini muhimu katika  miundo ya ngozi .

Strawberry1

5) Spinach Jani hili hubeba tani ya madini : beta-carotene, lutein , potasiamu, nyuzi na folate ambayo madini hayo yote husaidia kukupa ngozi nzuri yenye afya.

spinach.-macular-disease-007

6) Maji husaidia kurainisha ngozi pale inapo kuwa kavu, husaidia kuondokana na miwasho inayo sababishwa na ukavu wa ngozi.

7370993-Glass-of-very-cold-water-with-ice-cubes--Stock-Photo