Ukiongelea wabunifu wa viatu ambao wako kwenye chat kwa sasa basi huwezi kumtaja Amina Muaddi, Amina Muaddi ni mzaliwa wa Jordan na nusu Romanian, nusu Jordanian. Akiwa ana miaka michache tu tangu aingie katika biashara ya viatu Amina amesha catch attention ya watu maarufu wakubwa…