Ikiwa tunaelekea katika kilele cha Tanzania Red Ribbon Gala, tumewatafuta baadhi ya wabunifu watakao shiriki katika Tamasha hili na kuwauliza maswali mawili matatu kuhusu Tamasha hilo. Hapa tupo na mbunifu Asya Khamsin ambae amejibu maswali yetu kama ifuatavyo AFS: umeona umuhimu gani wewe ¬†au company…