Najua hapo ulipo unawaza na kufikiri je ni kweli nitaweza kutengeneza cream ya uso nyumbani kwangu na ikafanya kazi?Kabla ya kujibu swali hilo nataka usome hadi mwisho kisha utajua kama ukitengeneza itafanya kazi au lah! Kutengeneza cream nyumbani kwako ni njia nzuri ya kupunguza matumizi…