SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo

Makosa Nane Ya Uvaaji Unayopaswa Kuyaepuka 

Makosa ni kitu cha kawaida hususani katika uvaaji, Hata kwa watu wanaojua kuvaa kuna siku unakosea step. Ni makosa ambayo kwa hatua chache kadhaa yanaweza kurekebishwa. Kurekebisha makosa haya kutasaidia kuboresha style yako na uvaaji wako na pia inaweza kusaidia hata kupunguza matumizi yako katika…

Mitindo

NGUO NYINGI ILA HUNA CHA KUVAA 

Nguo zimejaa kabatini, kwenye hanger na begi limejaa ila ukiambiwa upangilie nguo kumi kwa ajili ya mitoko inakuwa shida. Unabadili na kubadili, hii nguo haiendani na ile na hii haina blauzi ya kuvalia. Yani ni full kutaabika mpaka kuvaa inakuwa mtihani. Ushajiuliza ni kwanini una…