Tulidhani hili swala tumesha limaliza toka mwaka jana tulipiga kelele sana la kushirikiana kati ya stylist, wabunifu, wanamitindo na make up artis, kiukweli kabisa hawa ni kama bahar na chumvi ikikosekana basi hilo huwa ziwa au mto. Wabunifu wanamitindo hawana kazi, bila wana mitindo wabunifu…