Its September na ikifika September ina maanisha kitu kimoja, Fashion Week. Well New York Fashion Week imeanza toka Ijumaa ya tarehe 6, tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa wame-attend na hawa ni wachache kutoka Africa ambao tumeona wakiwepo kutuwakilisha. Tiwa Savage is bringing fire on New…