Wateja Wanachangia Kudumisha Sekta Ya Mitindo Nchini
Imekuwa kawaida yetu kuchukua muda kutafuta nini kinakwamisha Tasnia ya mitindo Nchini na nini kifanyike ili kuondoa changamoto hizi zinazosababisha kudorora kwa sekta hii mahsusi duniani kote. Mara nyingi tumekuwa tukilalamikia stylists na wabunifu kuhusu kukosa ubunifu na upekee katika kazi zao, wabunifu wanacopy (kunakili)…
Zawadi Ni Zawadi Miss Mbeya 2019 Kupewa Zawadi Ya Pikipiki
“Zawadi Ni Zawadi” Miss Mbeya 2019 Kupewa Zawadi Ya Pikipiki, wengi wakiwa wameshangazwa na kitendo hiki, ikiwa tumezoea kuona ma’miss wanapewa zawadi kama magari, pesa taslim nakadhalika, Mbeya mwaka huu wameamua kutoa pikipiki. Sisi kwetu tunasema zawadi ni zawadi, anaweza kuhsindwa kukitumia yeye kama yeye…
Namna Ambavyo Media Personalities Wanaweza Kuleta Ushawishi Katika Mitindo
Moja kati ya watu ambao Nchi za wenzetu wanawatumia katika kuleta ushawishi wa mitindo kwenye jamii ni media personalities, kwa kusema media personality hapa tunamaanisha wale watu maarufu katika media yaani watangazaji, wale ambao wamepata umaarufu kupitia kitu fulani wamefanya kama washindi wa michezo fulani…
Tunahitaji Fashion Influencers Kukuza Fashion Industry Ya Tanzania
Moja kati ya vitu ambavyo vina angusha industry ya fashion Tanzania ni kukosa fashion influencers na hapa hatumaanishi celebrities au stylist, hawa ni wale watu wa kawaida tu ambao wanapenda mitindo, hawa huwa wakati wengine tunawaita fashionista’s ni wale watu ambao wanaweza kuvaa vazi la…
Fashion Stylist Mjifunze Kutoka Kwa Makeup Artist & Hair Stylist
Leo kwenye indusrty talk tunaongelea kuhusu makeup artist na hair stylist kutoka Tanzania, hawa watu ni marketing genius mnaweza kujiuliza kwanini, Makeup artist na hair stylist huwa ni watu wa kwanza kumpokea upcoming yoyote anayechipukia katika sanaa na kubadilisha muonekano wake kabla hajaonekana na fashion…
Kwanini Tunakuza Wanamitindo Masikini?
Tukiwa tunaingalia Tasnia ya mitindo na urembo unaweza kuona wanamitindo (models) wana play part kubwa sana kukuza Tasnia yetu hii, Wabunifu wanawatumia wao kutangaza kazi zao, makeup artist vile vile, hair stylist pia, wanamuziki wanawatumia haohao models lakini kwa bahati mbaya ndio watu ambao hawana…
Barua Ya Kufunga Na Kufungua Mwaka Kwa Wapenzi Wa Afroswagga
Mwaka 2018 umeweza kuwa wa mafanikio makubwa mabapo tumeona tasnia ya urembo, mitindo na ubunifu ikizidi sogea mbele. Twaweza sema hapa tulipo si sawa na miaka 5 nyuma na hakika tujipongeze kwa hili. Tasnia ya urembo, mitindo na ubunifu yawakutanisha watu wengi wakiwemo wabunifu wa…
Wanamitindo 8 Walifanya Vizuri 2018
Slay, baby, slay. Tasnia ya mitindo, tukifocus katika modeling imetoka mbali, enzi za Miriam Odemba na Frank Gonga na twaiona ikiendelea kukua ikiwa na machipukizi wengi wazuri kama Smayra Mohammed na Symon Poluse. Stylist, Fashionistas, Photographer & Makeup Artist Tunaotegemea Makubwa Kutoka Kwao 2019 2018…
Stylist, Fashionistas, Photographer & Makeup Artist Tunaotegemea Makubwa Kutoka Kwao 2019
Tasnia ya mitindo na ubunifu yaendelea kukuwa na tumeona fashionistas, stylists, photographers, accessories designers na wengine wengi wakikuwa na kuweza kututeka na kazi zao. Mwaka 2018, majina yafuatayo tuliweza yaona katika kazi za mitindo, ubunifu ama kurasa za mitandao ya kijamii wakiwa na kazi nzuri…
Zawadi 8 Za Kuwazawadia Wapendwa Wako Msimu Huu Wa Sikukuu Kutoka Katika Brand Za Tanzania
Ni msimu wa kutoa nakupokea zawadi, as we all know Christmas is around na jingle bells zishaanza kulia, well wengi tunakuwa na mawazo ya nini umzawadie mpendwa wako na by mpendwa hatumaanishi tu babe ila yoyote umpendae awe mama, dada, kaka, shangazi, baba yoyote alimradi…
HOT TOPICS
Martin Kadinda Debuted She Gentle Collection At Swahili Fashion Week: Mbunifu Martin… https://t.co/BBAefWm0Al
FollowNjia Za Kujali Handbag Yako Idumu Muda Mrefu: Kama ambavyo unaweka cover na protector… https://t.co/rYXOb7PBbX
Follow#SwahiliFashionWeek2019 Lundi and Sons Collection #SwahiliFashionWeek2019 https://t.co/1sgnuYbDen
Follow
FOLLOW US!