Jinsi ya kuondoa nywele za usoni au ndevu kwa wanawake.Leo kwenye urembo tutaongelea jinsi ya kuondoa nywele za usoni pamoja na ndevu ambazo siku hizi wanawake wengi wamejikuta wana nywele  ambazo zinawakera. Kwa kutumia kiwembe inaweza kuwa ni rahisi sana kwani ni kitu cha dakika…