The weekend has landed, na kama kuna vitu ambavyo vinahuwa vinatia stress ni mavazi na makeup gani upake kama una mtoko weekend. Well we say no more, leo tunakuletea baadhi ya makeup ambazo tumeziona kutoka kwa watu maarufu mbalimbali ambazo tumekutana nazo na zinaweza kuku-inspire…