SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo

Tanzanian Men Came Through With The Slayage 

Ni jumatatu nyingine tena ambayo huwa tunawaletea weekly highlights za nani amevaa nini na je amependeza au lah, na leo tunawaletea men version as wengi huwa mnalalamika hatuweki sana habari za wanaume, well tunaweza kusema tumeona slayage ya hatari kutoka kwa watu maarufu wa kiume…

Mitindo

Are We Here For Men Wearing Head Scarf? 

Tumezoea kuona wanaume wakivaa head wrap, lakini pia kuvaa scarf kama wakiwa kwenye ndoa au wale waarabuni na kuna namna ambavyo wanavaa. “Kilemba” Urembo Mpya Kwa Wanaume Lakini seems like rapper ASAP Rocky anataka kuleta trend ya wanaume kuvaa head scarf kama hijab au vvile…

Urembo

Njia za Kutunza Ndevu 

Ndevu zinaweza kuwa natural accesory kwa mwanaume kama tu zitatunzwa vyema na zinaweza kuwa kero kwa mwanaume na wanawake kama zitakuwa hazina matunzo, yes zinaweza kuwa kero kwa wanawake kutokana na kwamba wanawake wengi wanapenda wanaume wenye ndevu nyingi lakini si tu ndevu bali ndevu…