SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo

Office Style Sins You Should Never Commit 

Wakati wa kuchagua mavazi ya ofisini kwa wanaume huwa ni rahisi, kwa sababu wanachi jua wao ni kwamba hutakiwi kuvaa kaptura ofisini kichwani mwao huwa wanawaza proper office shoes,suruali shirt za ofisini na jinsi ya ku-accessorize lakini kumbe kuna dhambi mbalimbali ndogo ndogo wanazo zisahau…

Hair, Urembo

Ali Kiba Debuted New Hair Style 

Mwaka unaanza kuwa interesting katika Fashion tunapenda tunacho kiona blonde ina pumzishwa, wasanii hasa wa kiume hawakua na style’s nyingi za nywele wengi walikua wana bleach nywele au kuweka vile virasta lakini mwaka huu inaonekana wengi wameamua kuja kivingine as tulianza kumuona Ben Pol akiwa…

Mitindo

Namna Za Ku-Style Kanzu 

Mara nyingi huwa tuna post kuhusu Fashion za wanawake (hijabista’s) na kusahau kuhusu wanaume, labda kwa sababu wanaweza kuvaa chochote ili mradi kivuke magoti, lakini vazi lao kubwa ni kanzu, Kanzu inavaliwa tu kawaida japo kuna namna zake unaweza kuivaa ukaonekana smart, fashionable na bado…