Ikiwa tuna count down to FrancLizzy na huku hatujui hii harusi itakuwa lini, wapi na kama tutaalikwa au lah, muigizaji Elizabeth Michael ameendelea kutupa excitement tukijiuliza atavaa nini siku yake ya harusi ikifika. Kama ambavyo sote tunajua Lulu slays as a wedding guest. Elizabeth Michael…