SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo

Namna Ambavyo Fashionista Wanaslay Mishono Ya Kitenge 

Gucci, Channel, Fendi for what? Move over sababu kitenge kimeanza kuchukua nafasi once again,na fashionista’s kutoka sehemu mbalimbali wanatuonyesha umahiri wao wa ku-slay mishono hii ya kitenge Muigizaji na fashionista kutoka Ghana, Nana Akua Addo tulim-spot akiwa katika hii kitenge jumpsuit ambayo tumependa jinsi ilivyo kuwa…

Mitindo

Iga Mshono Kutoka Kwa Hamisa Mobetto 

Well spirit ya ku-slay kwenye harusi za watu haija ishia 2018, we are carrying that same energy to 2019 pia. leo tumemuona muigizaji, mwanamitindo na kwa sasa ni mwanamuziki Hamisa Mobetto akiwa amevali hili gauni ambalo tumeona linaweza kukufaa katika sherehe yako ijayo uwe mgeni…