Kama wewe ni mpenzi au mnunuaji sana wa designers’ handbags bila shaka jina la Hermès Birkin linaweza lisiwe geni kwako. Dizaini hii ya pochi imejizolea umaarufu kutokana na muonekano wake mzuri na pia kumfanya mtu ajihisi wathamani wakati anapokuwa ameubeba. Collection ya handbags za Birkins huja katika…