Katika shughuli za kila siku swala la miili yetu kupatwa na mionzi ya jua limekuwa jambo la kawaida. Mionzi hii sio tu huifikia ngozi zetu lakini pia huweza kusababisha mabadiliko fulani katika ngozi kupelekea zionekane zimefifia au nyeusi zaidi. Mfano mzuri mtu akitembea juani kwa…