Fashionista utoka Nigeria Sade Akinosho ametuonyesha how to slay skater skirt kama off shoulder top. Sade au unaweza kumpata Instagram @S4de_u mara ya kwanza alivaa skirt hio na thigh high boots.. top na kofia wakati mara ya pili aliivaa skirt hii kama Off shoulder top na…