SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo

Maoni Yetu Katika Fashion Couture Affair Event 2019 

Tarehe 23 Feb 2019, Tamasha la mitindo liitwalo Fashion Couture Affair lilifanyika kwa mara ya kwanza hapa Nchini kwetu Tanzania, wabunifu mbalimbali wali-showcase kazi zao na tunaweza kusema we can’t wait kuona mwakani watatuletea nini. Onyesho hili lilijumuisha wabunifu kutoka Tanzania na Nchini Kenya tulipata…

Mitindo

Runway Report From Glitz Africa Fashion Week 2018 

Glitz Africa Fashion Week imeanza huko Ghana, wabunifu kutoka Africa wameshiriki ku-show case collection zao, kuna vingi ambavyo tumeviona na vya kujifunza katika Glitz Africa Fashion Week tukiwa tunaelekea katika SFW 2018 let’s see wenzetu wameonyesha mitindo gani. LUMIERE WOMEN did women of middle age and…