Tunapenda kuona watu wakijaribu, tunapenda kuona mabadiliko katika fashion industry yawe ya mtu mmoja mmoja, wabunifu, models, stylist etc ilimaradi tu tuone mabadiliko na mabadiliko hayo yawe ya kuboresha, well stylist anakuja kwa kasi ambae alianza kama model, Macrida Joseph week hii ametufanyia surprise kwa…