SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo

Jinsi Tuxedo Dress Ilivyovamiwa Na Mastaa 

Tuxedo dress ni moja ya essentials ambazo kila mwanadada ana paswa kuwa nayo na hii ni kutokana na kwamba ni rahisi kui-style lakini pia ina fit kila mahali, iwe casual,smart au business wear. Juma hili tumeona mastaa mbalimbali wakiwa wamevalia vazi hili wakiwa wana hudhuria hafla…

Mitindo

The Belted Suit/Blazer Is Taking Over 

Kama utakuwa umenotice suit hasa kwa wanawake ina trend sana mwaka huu, na hasa colorful suit. Lakini pia ni jinsi ambavyo koti la suit linavyo kuwa accessorized na belt. Tumependa style hii hasa kutokana na mambo makubwa matatu koti la suit huwa halifit vizuri kiunoni…

Urembo

Shanga Inavyo Chukua Nafasi Katika Urembo 

Toka movie ya Black Panther  itoke ni kama ime tu-boost wa Africa kama ume notice kwa sasa watu maarufu wengi wanajaribu kutukuza tamaduni zetu,hasa kupitia mavazi na urembo. Watu kama WCB siku hizi wanavaa sana vitenge, lakini pia Wema Sepetu, Jacqueline Wolper uko Nchi za…

Mitindo

Skirt Over Pants 

Hii ni trend nyingine ambayo imechukuliwa kutoka miaka ya 80 na 90 ambapo suruali ilikuwa inavaliwa ndani na skirt au gauni kwa juu, inaonekana trend inarudi as tumewaona watu maarufu mbali mbali wakiwa wamevaa style hii. The famous one ni hii suruali ya jeans ambayo…

Mitindo

The Off White Industrial Belt 

Kama kuna kitu tume notice ni kwamba huu mkanda wa off white industrial belt una trend sana kwa sasa, karibu kila star amevaa huu mkanda kuanzia Beyonce, Travis Scott na wengine wengi. Tuli unotice huu mkanda mara ya kwanza pale ambapo fashionista walikuwa wanaanza hii…

Mitindo

The Ugly Sneakers Zinavyo Trend Kwa Sasa 

Upande ambao Fashion inaelekea ni very strange, jinsi ambavyo kitu kinakuwa kibaya ndivyo kinavyo bebwa kwamba ni stylish. The ugly sneakers ni kama “the dad jeans” au “mom jeans” zile jeans za zamani wamama na wa baba walikuwa wanavaa,sasa hivi vimekuja viatu vya wababa hizi…

Mitindo

Branded Socks Are The New Anklet 

Mwaka jana tuliona namna gani kuvaa heels na socks ilivyo trend lakini mwaka huu sio tu socks alimradi socks bali ni branded socks. Kutoka kwenye runways za wabunifu mbalimbali tumeona branded socks ndio zina make headlines brands kama off whites wame toa socks lakini pia…

Mitindo

Beret Are New Lace Wigs 

Sasa tunaweza kupumzisha lace wigs zetu kwa kupata new accessory ya kichwani, the 90’s are coming back & beret hat ni moja kati ya trend ya miaka hiyo iliyo rudi kwa kasi. Ni kofia ambazo zimekaa girlish unaweza kuvaa na chochote kama gauni, suruali, skirt…