Nini Umuhimu wa hizo nywele sehemu za Siri ? Nywele za uke na uume huzuia maambukizi ya bakteria ambao huweza kupenya kwenye vitundu vidogo vya sehemu hizo,vilevile huzuia mchubuko wa ngozi katika sehemu hizo.Sababu hii haimaanishi usinyoe sehemu za Siri. Sehem hizi zikizidi nywele hutoa…