SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo

Everyone Is Wearing Polka Dot Shoes 

Baada ya prints za wanyama ku-trend kwa muda mrefu kwa sasa tunaona kilichopo kwenye trend ni polka dot prints. Watu maarufu na fashionistas mbalimbali wameonekana kuwa wanavaa print hii. Iwe ni full outfit polkadot, mixing prints au hata ku-stand out na kimoja wapo katika outfit…

Mitindo

The Tiny Bag By Jacquemus Vs Double Chanel Bag 

Wanasema linapokuja swala la fashion expect anything, wabunifu kila siku wanakuja na jambo jipya, mwaka jana tuliona viatu na denim wamekuwa wakileta designs mbalimbali, mwaka huu tunaona ni zamu ya handbags, hadi sasa tumeona invention mbili ambazo zimetufanya tuwe surprised kidogo na kuwaza hawa wabunifu…

Mitindo

Deconstructed Blazer Are Trending Now 

Moja kati ya trend kubwa iliyoonekana katika fashion week za Africa lakini pia na Ulaya ni deconstructed clothes ambapo mtindo huu ni kwamba nguo ina vurugwa ule muonekanao wake wa kawaida, mfano mkono kutolewa upande mmoja etc. Na kwa sasa mtindo huu una trend in…

Mitindo

Nani Alaumiwe Kati Ya Mnunuzi Na Muuzaji? 

Okay Afro Mates ni Ijumaa nyingine tena ambapo as usual Ijumaa huwa tunawaletea nini kina trend kwa sasa katika ulimwengu wa mitindo na urembo, leo tunakuleta hii issue ya Mnunuzi na Muuzaji wa bidhaa ambayo kwa week kadhaa sasa tumeona ikitrend mitandaoni, Kama bado hujaelewa…