SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo

A Touch Of Color Of The Year – Lavender 

Ultra Violet 18-3838 ndio ilitangazwa kuwa rangi ya mwaka 2018, japo haikukiki sana mwanzoni lakini kwa sasa kila fashionista ana jaribu kuonyesha umahiri wake katika kustyle na kuvaa hii rangi. Kuna wale ambao wanavaa head to toe lavender na kuna wale ambao wanaonyesha ujuzi wako kwa…

Mitindo

Bizarre Multi Layered Jeans 

Kunavitu vinaweza kuwa vina trend Duniani hasa katika upande wa fashion ukajiuliza why? wakati kila mtu akiwa bado haamini kuhusu jeans za kuvaa nje ndani – ndani nje seems like Multi Layered Jeans ndio ingizo lingine linalokuja kwa kasi kwa sasa, Would You Dare To…