Hili gauni linatoka kwa bunifu Style Temple kutoka Nigeria, moja kati ya wabunifu wanaofanya vizuri Nigeria kutokana na ubunifu wake wa kipekee, style temple wana style’s ambazo ni unique hazijawai au ni mara chache kuonekana kutoka kwa wabunifu wengine wanajaribu
Read moreAfroSwagga
Fashion, Beauty & Style