11049323_470139736484492_875882396_n

Viungo:

 1. Unga wa ngano
 2. Sukari
 3. Iliki
 4. Chachu
 5. Mafuta ya maji
 6. Maziwa

Kuandaa:

 1. Changanya unga ya ngano, iliki, chachu, maziwa na maji kidogo. Weka kando itulie.
 2. Teneneza mchanganyiko wa sukari na maji kisha wacha itulie.
 3. Weka mafuta ya maji kwa kikaangio cha kuoka.
 4. Tengeneza mchanganyiko wa unga ili iwe mviringo kisha tumbukiza kwa kikaangio iliyo na mafuta.
 5. Geuza mviringo hadi iwe na rangi ya kahawia.
 6. Toa kwa mafuta, kisha tumbukiza kwa mchanganyiko wa maji na sukari

Comments

comments