Kerry Washington au Oliver Pope kama wengi tunavyo mjua ame kuwa Cover girl wa gazeti la ADWEEK ambapo ameongelea maswala mengi kuhusu maisha, kazi na mahusiano katika vyote hivyo amejieleza vizuri lakini tulicho notice sisi watu wa mitindo ni kwamba katika cover hii Kerry ametumia nywele zake (natural hair) hajaongeza wigs wala weaving na style yake ni ame zirudisha tu nyuma

fea-kerry-washington-02g-2016

akiwa ame valia floral Cinderella dress kerry looks gorgeous.

fea-kerry-washington-cover-01-2016

 

hii ndio cover yenyewe ambapo amevalia white and black stripped gown na natural hair zake

KERRY WASHINGTON AONYESHA KIPILIPILI CHAKE

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com