Wiki iliyo isha ilikua ni wiki ya mitindo, yameonekana mengi lakini hili lime tushangaza kidogo. Huu  ni Urembo wa uso ambao umebuniwa na Sarah & Sebastian, wengi wame upenda lakini bado kuna maswali yana tutatiza Je Utaweza kuongea ukiuvaa? na je Utainama kweli? hauwezi kukuchoma kooni? Bado maswali haya yana sumbua vichwa vya wengi. Je wewe mwenzangu unaonaje?

[URIS id=1391]